banner image

MSIBA MT VERNON NEW YORK

TANGAZO LA MSIBA NEW YORK
Familia ya Joan Rweyemamu NY inasikitika kuwatangazia kifo cha binti yake mmoja wa mapacha Julia Nyangoma Rweyemamu ( kulwa ) kilichotokea JUMANNE, asubuhi majira ya saa tano, msiba huu umetokea ghafla sana. Habari zaidi tutaendelea kujuzana  msiba wa Julie Nyangoma Rweyemamu kwa sasa utakuwa kwenye address ifuatavyo
19 William Street Apt 3B
MT. Vernon NY 10556


Tunaomba wote watakaoweza wafike kuwafariji wafiwa


Kwa simu Piga
914-497-1950 Prudence
914-310-4046 Margreth
914-309-3797 Mama-Joan Mary
MSIBA MT VERNON NEW YORK MSIBA MT VERNON NEW YORK Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 10:51 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.