banner image

MSIBA DMV NA TANZANIA NA UPDATE YA ANUANI YA MSIBA

Rose Paul Walden enzi ya uhai wake.
Familia ya Walden inasikitika kutangaza kifo cha mama yao Rose Paul Walden(64Yrs), kilichotokea asubuhi February 5th 2017 akiwa amelazwa Frederick Memorial Hospital iliyopo Maryland, USA kwa matibabu ya Cancer. 

Kama ilivyo desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu msiba upo  

4515 Hatties Progress Dr,
Bowie, MD 20720

 Tujumuike pamoja na familiatuwape pole katika msiba huu wa kuondokewa na mpendwa mama yao.

Tunaombwa tusaidiane na familia katika kwa kuchangia GOFUNDME kwa kubofya HAPA ili kuwezesha maziko ya mpendwa wetu.
.Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na

Verian Shaw: (301)514-4267
Peter Walden:(240)413-3801
Frida Walden:(240)838-6123
Paul Walden:(240)481-4193
Stanley Walden:(240)271-8291


Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe na kwake tutarejea
MSIBA DMV NA TANZANIA NA UPDATE YA ANUANI YA MSIBA  MSIBA DMV NA TANZANIA NA UPDATE YA ANUANI YA MSIBA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 10:51 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.