banner image

MEMORIAL SERVICE YA LEO MAPUNDA COLUMBUS, OHIO

Ndugu Watanzania,

Tunapenda kuwa taarifu kwamba kutakuwa na Memorial Service ya Leo Mapunda Mwakitalu ambayo itafanyika Columbus Ohio, March 11 2017, from 3pm to 6pm at Gesthmane Lutheran Church.

Memorial service itakuwa ya kumkumbuka marehemu na to celebrate his life. Kila mtu anakaribishwa na baada ya misa kutakuwa na dinner ambayo imeandaliwa na Watanzania wa Columbus Ohio.

Tafadhali tunaomba ujumbe huu tuwafikishie Watanzania wote.

Pia kuna t-shirt zinapatikana zenye picha ya Leo. Kama utapendelea kuvaa t-shirt siku ya memorial service tafadhali wasiliana na Eva Kiwelu cell (614) 678-0013.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Memorial Service tafadhali wasiliana na wafuatao.
Angila Magori (614) 592-3064
Emmanuel Lyatuu (614) 806-7636
Yusuf Mecca (614) 589-6140
Kibibi Kondo (614) 592-9536
Neema Damian 614-446-1347
Raphael Mbwana (614) 496-5964
Chacha Ngocho (614) 439-4629
Walter Kalosi +1 614-946-2213
William Mwandambo 518 961 2098

A DAY WITH LEO VIDEO
MEMORIAL SERVICE YA LEO MAPUNDA COLUMBUS, OHIO MEMORIAL SERVICE YA LEO MAPUNDA COLUMBUS, OHIO Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 10:28 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.