banner image

MPENDWA WETU EYSHE MAX AZIKWA HUKO GENEVA, USWIS

UPDATES: Marehemu mpendwa wetu Eyshe Max amezikwa jana  katika makaburi ya Geneva, mazishi yaliyohudhuriwa na watu wengi ikiwemo jumuiya ya Watanzania waishio huko, ndugu, jamaa na marafiki.
Marehemu Eyshe atakumbukwa daima kwa ucheshi na upendo wake na zaidi  zaidi kwa ucha Mungu wake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, na aifariji familia yake aliyoiacha nyuma.
Amin.🙏🏾



SOURCE: MICHUZI BLOG
MPENDWA WETU EYSHE MAX AZIKWA HUKO GENEVA, USWIS MPENDWA WETU EYSHE MAX AZIKWA HUKO GENEVA, USWIS Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 1:48 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.