banner image

MISA YA SHUKURANI DMV

Familia ya Michael na Grace Mnkande, wanapenda kukukaribisha kushiriki katika misa ya shukurani ya marehemu mama yao mpendwa, mama Rose Mnkande itakayofanyika Feb 4, 2017, saa 2:00pm hadi 5:00pm, katika kanisa la "They Way Of The Cross Gospel Ministries ". Familia inapenda kutanguliza shukurani za dhati kwenu wote.

Kwa habari zaidi wasiliana na wahusika kupitia namba:
Address:
The Way of The Cross Gospel Ministries.
405 Riggs Rd NE, Washington D.C 20011
MISA YA SHUKURANI DMV MISA YA SHUKURANI DMV Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 1:33 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.