banner image

TANZIA: ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA

NDUGU SAID MOHAMED
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo  katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.




Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya  Azam na  mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.




Blog ya Jamii inatoa  pole kwa ndugu na familia ya marehemu


Source:https://issamichuzi.blogspot.com/
TANZIA: ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA TANZIA: ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 12:42 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.