Familia ya Mwoga ya
jijini Dar es Salaam (kinondoni B –
block 41),
Wanasikitika kutangaza
kifo cha Baba yao Mpendwa Mr. GODFRIED MAGWARI MWOGA,
Kilichotokea siku ya
05/09/2016 katika hospital ya Kairuki ya jijin Dar es salaam alipokuwa
akipatiwa matibabu.
Marehemu Alizaliwa
26/12/1914, katika kijiji cha Mukirira – Musoma vijijini.
Marehemu Ameacha Mjane
mmoja na watoto sita (6) , watoto wa marehemu Godfried Magwari mwoga ni;
- Joseph
- Gilbert
- Getrude
- Allex
- Irene
- Gerlad
Misa ya mwisho ya mpendwa Baba yao ilifanyika jana 7/09/2016, katika
Kanisa la St. Peters – Ostar bey. Saa 14:00pm
Na kisha saa 16:00pm mwili wa marehemu ulipelekwa katika Makaburi ya
Kinondoni sehemu iliyoandaliwa kwa kuupumzisha Mwili wa mpendwa Godfried
Magwari Mwoga.
| Mwili wa mpendwa wetu mzee Godfried Ukipakiwa ndani ya Gari maalum |
| Gari yenye Mwili Wa Marehemu Likiondoka Hospital kuelekea Nyumbani kwa mzee Godfried |
| Gari lenye Mwili wa Mpendwa Baba yetu Godfried likiwasili Nyumbani kwake |
| Mwili wa Baba yetu mpendwa ukishushwa |
| Mke wa Mzee Godfried Magwari Mwoga |
| Waombolezaji Nyumbani kwa marehem wakiwa tayari kuupokea mwili wa mpendwa wao |
| mwili wa Baba yetu mpendwa ukiwa umingizwa ndani |
| Ndugu wa karibu wakitoa Heshima za mwisho |
| Jamaa na majirani wakitoa Heshima za Mwisho kwa mpendwa wao |
| Mke wa Marehemu(wa pili kulia) akiwa kwenye picha yapamoja na viongozi wa jumuhiya na baadhi ya watoto wake |
| Mke wa Mzee Godfried Akiwa na watoto wake kwenye picha ya pamoja |
| Mke wa marehemu Akiwasili Kanisani kwaajili ya ibada ya mwisho ya mpendwa wao |
| Mwili wa Baba yetu kipenzi ukishushwa na kuingizwa kanisani kwa ajili ya ibada maalumu yakumuaga |
| Padri wa kanisa la St. Peters akiongoza misa maalum ya Baba yetu Mpendwa Godfried Mwoga |
| Waumini wakitoa Heshima za mwisho |
| Mwili wa mzee wetu ukipakiwa kwenye Gari tayari kwa kwenda pumzishwa kwenye makaburi ya Kinondoni |
| Waombolezaji wakiwa tayari wamefika katika eneo la makaburi |
| Kaburi la mpendwa wetu likiwa limeandaliwa tayari |
| Jeneza lina wekwa sawa kwaajili ya kushushwa kaburini |
| Mke wa marehemu Mzee Godfried Mwoga |
| Mke wa marehemu Mzee Godfried Akimwaga udongo |
CONVIDA Funeral Home Company ltd, inatoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee GODFRIED MWOGA, kwa msiba wa Baba yetu mpenzi. Tunamwombea kwa Mungu ampumzishe kwa Amani.
Amen..
source: Convida Funeral Company
TANZIA
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
4:34 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment