banner image

ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTUMISHI WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) AMATUS LIYUMBA AFARIKI DUNIA




 post-feature-image


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo katika Hospitali ya Agha Khan alikokuwa akipatiwa matibabu, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es salaam. (SOURCE- www.hakingowi.com)

Kampuni ya CONVIDA FUNERAL HOME kwa masikitiko makubwa inatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na familia ya baba yetu mpendwa, Amatus Liyumba. Mungu ametoa, Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe milele na milele, AMINA. ROHO YA BABA YETU MPENDWA IPUMZIKE KWA AMANI.
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTUMISHI WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) AMATUS LIYUMBA AFARIKI DUNIA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTUMISHI WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) AMATUS LIYUMBA AFARIKI DUNIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 4:46 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.