

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (Mtwara Press Club) Hassan Simba amefariki dunia katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam jana Jumamosi mchana Februari 24,2018.
Hassan Simba ambaye alikuwa anaandikia gazeti la Habarileo amefariki alipokuwa anapata matibabu baada ya kuugua muda mrefu.
Mungu ailaze Mahali Pema Peponi roho ya Marehemu Hassan Simba. Amina!
Tanzia : MWENYEKITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MTWARA HASSAN SIMBA AFARIKI DUNIA
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
1:50 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment