banner image

TANZIA: Aliyekuwa Mpinzani Mkuu wa Mugabe, Morgan Tsvangirai amefariki

Morgan Tsvangirai

Taarifa inayoshika headlines nchini Zimbabwe na Afrika Kusini muda huu ni kuhusu Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai amefariki akiwa anapatiwa matibabu nchi Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 65, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Utumbo kwa zaidi ya miaka miwili.
Hali ya afya Morgan ilizidi kuwa mbaya hadi siku za hivi karibuni licha ya matibabu aliyokuwa anapatiwa nchini Afrika Kusini.
Kifo cha Morgan kitakuwa pigo kubwa kwa upinzani nchini Zimbabwe.

TANZIA: Aliyekuwa Mpinzani Mkuu wa Mugabe, Morgan Tsvangirai amefariki TANZIA: Aliyekuwa Mpinzani Mkuu wa Mugabe, Morgan Tsvangirai amefariki Reviewed by SHEDrack Mtawa on 8:16 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.