Bwana William Lawrance Gama wa Mbezi beach Dar es
salaam anatangaza kifo cha cha Kaka yake Bwana Dominick Gama,
kilichotokea South Africa tarehe 28-November-2017, mipango ya mazishi
inafanywa nyumbani kwa maehemu Kinondoni B Dar es salaam.
Habari
ziwafikie Ukoo wote wa Gama Wa Tanga,Dar es salaam na Songea, Ukoo wote
wa Lugusha wa sikonge Tabora, Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote
pale walipo.
Taarifa za msiba wa Dominick Gama
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:41 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment