banner image

TANZIA: BALOZI WAZIRI JUMA AFARIKI DUNIA KUZIKWA ALHAMIS

BALOZI WAZIRI JUMA (ENZ
Balozi mstaafu wa Tanzania nchini China na Sudan na mkuu wa mikoa mbalimbali katika serikali ya awamu ya kwanza Balozi Waziri Juma (pichani) amefariki dunia jana jijini Dar es salaam alikopelekwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa binti yake Mwanamuziki Kida Waziri, mwili wa marehemu utasafirishwa leo  Jumatano kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi kijijini kwake Nairobi Jirihini kata ya Gombero Wilaya ya Mkinga mkoa wa Tanga.
Innalillah Wa inna ilayh rajiun


CONVIDA inawapa pole ndugu, jamaa na wote walio guswa na msiba huu, Mola ailaze Roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi. Amen
TANZIA: BALOZI WAZIRI JUMA AFARIKI DUNIA KUZIKWA ALHAMIS TANZIA: BALOZI WAZIRI JUMA AFARIKI DUNIA KUZIKWA ALHAMIS Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 8:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.