banner image

MAJALIWA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU XAVERY MIZENGO PINDA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kushiriki katika kuaga mwili wa Baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Marehemu, Xavery Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakiwa nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa ya Dodoma ambako walishiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, marehemu Xavery Mizengo Pinda Novemba 30, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.
 BOFYA HAPA SOMA ZAIDI



MAJALIWA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU XAVERY MIZENGO PINDA MAJALIWA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU XAVERY MIZENGO PINDA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:15 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.